Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Lara1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mpwayungu kuna Sehemu Leo kalike!Mpwayungu Village pia hayupo online siku nyingi, maana alikuwa anawasema sana walimu sijui walimteka ?
Sio kweli Kuna wanaume wawili hapo min me na nicas😅😅😅😅 unaraha ote hao afu pisi
Watu ambao kila leo nawakumbukaEiyer na kuna C. T. U
sawa my friendSio kweli Kuna wanaume wawili hapo min me na nicas
📌🔨🔨Wengine bado wapo ila waliamua kureset mileage kwa kuja na ID mpya ikiambatana na persona mpya.
Mkuu kumbe unamkumbuka huyo jamaa,nilikua napenda sana kusoma mada zake humu na comments zake,hakika alikua anaelimisha.Alikua kichwa sana kwenye jf intelligence kabla haipooza ,mwingine ni Eiyer