Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Hapana ila Tz nimeizunguka sana geography yake ipo mkononi. Hydom ukienda utakutana na waethiopia 😂😂 angalia usijeloweaBila shaka ni nyumbani kwenu
Hanang nimepita hapo mwaka fulani nilikaa hapo siku moja nika ahidi kurudi tena, pia hydom lazima niende , na huko yaeda.