JF- MMU versions

Wewe si unajifanya kukaza wakati ushalegea bado kukumaliza tu... Naita bao la mkono...
Lazima ukaze mwanamke ukilegea tu itakua habari za mbwa kala mbwa
Si Kila anaekuja kwako ana nia nzuri nawewe ndugu yangu
Follow your heart but carry your brain with you
 
Lazima ukaze mwanamke ukilegea tu itakua habari za mbwa kala mbwa
Si Kila anaekuja kwako ana nia nzuri nawewe ndugu yangu
Follow your heart but carry your brain with you
Umesahau kusema... Expect less, to live happily ever after...
 
upogo besti?
kwa kweli maisha yanapigisha watu kona balaa!
nimemiss sana uwepo wako na marafiki zangu wengine wote!
imfikie ICHANA, Window7 Miss Neddy and co...
kwa kweli nimewamiss mno..

Mkuu Excel upo?
me bado nipo japo nimepotea kidogo MMU tangu babu Asprin acheze faulu kwa kipenzi changu J.lee na kunizunguka kwa yule mtoto mzuri mango g, kiukweli nimekua mpweke ndani ya jukwaa hili mpaka pale nitakapopata wakuziba haya mapengo.
 
Umeona eeeh!!!???
Ila nawewe pia umepotea kiaina..
Mbona hivo wananchi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…