JF- MMU versions

JF- MMU versions

Baada ya kama 4years na Sie tutakua old version[emoji119](ila kama bado tutakuwa tunatumia same ID)
Cc Ray van Boy(mondray)

Kipenzi mahondaw shukurani sana kwa salaamu
Much [emoji173] kwako bebe love
 
Kuna members id zetu ni multipurpose hazijaspecialize jukwaa lolote ni nadra sana kutajwa jukwaa lolote kwa kua kila jukwaa unaonekana mgeni.

Ngoje nichongeshe id
 
Wewe na ivuga ni old ila mmejirenew nyie wabbbaaaayaaaaaaaaaaaaaaa!
Ivuga still anatumia I'd ya 2008 (ila hii nilimrithisha). Sasa umemweka sehemu moja na mtu aliyeingia 2016 Dec.
Ila hata mimi wa 2014 kuniweka new version na 2017 duuh
2006-2010.
2011-2014.
2015- update
 
Kuna members id zetu ni multipurpose hazijaspecialize jukwaa lolote ni nadra sana kutajwa jukwaa lolote kwa kua kila jukwaa unaonekana mgeni.

Ngoje nichongeshe id
Kuna the boss nae anaoneka kwa kuibia ibia sikuhiz
Mwingine ni kabanga
Old model lol
 
Ivuga still anatumia I'd ya 2008 (ila hii nilimrithisha). Sasa umemweka sehemu moja na mtu aliyeingia 2016 Dec.
Ila hata mimi wa 2014 kuniweka new version na 2017 duuh
2006-2010.
2011-2014.
2015- update
Hahaha
Namaanisha kutamba MMU mpaka sasa
Kuna members yani ukiingia tu Huwezi wakosa
 
Smart911 always i'm unpredictable.. You will never know when i will attack and take you by surprise...

And once i do itapatewa na both mshangao na furaha..

mahondaw its just a matter of time...
Smart911 always i'm unpredictable.. You will never know when i will attack and take you by surprise...

And once i do itapatewa na both mshangao na furaha..

mahondaw its just a matter of time...

Utakua kama kinyonga si ndio??
Unabadilika Badilika wewe
 
Back
Top Bottom