JF- MMU versions

JF- MMU versions

hahaha! we mtoto wewe...si mchezo!
nimekumiss pia sana.. si uje inbobo tuthalimiane, teh teh
Akuu naogopa inbobo menjio
Weee mwenyewe unajificha ficha kweli chikuiji
 
mi napenda thana teacher
maana hachelewi kuniongeza,, teh teh..
nimekumith we mtoto, aisee naja kwa bobo..afu nikogo single ujue
Old version washaoa/ olewa so wapo na majukumu
Unaielewaje kauli hii!!??
 
Yani kusema ukweli mimi JF ya sasa hivi sijaipenda kabisaa
Hapa natafuta website nyingine nikaweke lulu zangu kule
Kila kitu uki upload wanakitoa MMU wanakuleta CHITCHAT sijui kwanini!

Huko MMU sijui wanataka tuandike nini labda?! It's boring kwakweli, BORING
Hawajatoa wamezipeleka JLW(jukwaa la wakubwa),omba access kwa mods ,lipo hapo chini kwenye member only
 
Back
Top Bottom