Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkono wa kulia.. ndio nimefika shamba. Maana ni mwendo wa 2hrs..Na smatfon umeshikia nini
Nahisi ameshaandika na kufuta kama mara 10 akitafuta jibu,ila watu wengine kwa maswali ! Haya tumeshakusamehe usirudie tena uongo...Na smatfon umeshikia nini
Walii ni ni ni ?
Mkono wa kulia.. ndio nimefika shamba. Maana ni mwendo wa 2hrs..Na smatfon umeshikia nini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nahisi ameshaandika na kufuta kama mara 10 akitafutajibu,ila watu wengine kwa maswali ! Haya tumeshakusamehe usirudie tena uongo...
Sawa nimeelewaUstaadh MWENYE viwango vya juu vya ufahamu wa mambo yetu yale
Nlikaa Kihesa njiapandavya Mtwivila back 2008Natokea kihesa naenda mjini kati kibaruani
Natoka Kikatiti naenda Tengeru sokoni kufanya mishe zangu 🙇
Kiluvya gani ?Kiluvya to simu2000
Hii chai, Mwanza siku hizi kuna Kariakoo?Nipo buhongwa naelekea kariakoo
Mkuu Niko miyomboni hapa ni mpiga debeNatokea kihesa naenda mjini kati kibaruani
Kasafari karefuNatoka uyole naenda mbalizi