Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Yeaaah mkuu niko pugu hukuKapala msenga???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaaah mkuu niko pugu hukuKapala msenga???
Sawa hahahYeaaah mkuu niko pugu huku
Namkumbuka mwanagu IselamagaziNatokea iselamaganzi naenda salawe kisha kahama Kisha chato burigi
Kwa kombaKiluvya gani ?
Oooh nimechelewa kuona hii comment yako, sasa hivi niko kwenye daladala narudi zangu Nyamongo maana nimekosa kibarua nilichokuwa nakifukuzia.Pitia hapa tarime town utanikuta beibe,,nipo maeneo ya gold land
Honey[emoji7] nakuijiaOooh nimechelewa kuona hii comment yako, sasa hivi niko kwenye daladala narudi zangu Nyamongo maana nimekosa kibarua nilichokuwa nakifukuzia.
Uko kazini au unatoka kazini?Dah...ndani ya mwendo illiyojaa sana naelekea Kimara...kwa kifupi nipo kazini...mniombee [emoji41]
Hapna jina mkuu?Natoka hapa kwenda pale.