Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbaya sana, hata kuniuma sikio jamani?
Basi nikadhani mimi ni mwenyeji JF, kumbe ndio kwanza hata mtaa wa pili sijafika!
Kazi kweli kweli.
- KANA -
Na ananibana sio mchezo auntie....Siku hizi vidio kolu anakubana.
HahaaaUzuri wa wanawake awafi na kitu moyoni watakuja kutaja mda sio mrefu
Msinifanyie hivi wapo kama watatu sasa nashindwa kujuaa yupiii,nipo sehemu mbaya network inasumbua pm zinagoma nawatumia mtaniuaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ukufweee.Msinifanyie hivi wapo kama watatu sasa nashindwa kujuaa yupiii,nipo sehemu mbaya network inasumbua pm zinagoma nawatumia mtaniuaa
Mwambie alete mahari tu, mkishindwana namlima fine tena.Na ananibana sio mchezo auntie....
Yaani wewe umejiunga leo Jf unajua haya yote ?Sijamuona Fisadi Kuu Lowasa hapa I think jamaa ndiye aliyefanya huyu mkali watu wakamjua.
Man this is new ID kwa old member.
Sawa Don Barzin nipo hapa na Hyman Roth na Vito Corleone tunatafuna cuban cigar karibuMan this is new ID kwa old member.
Nipo humu tangu 2016 November.
ID yangu ya zamani imepigwa ban ndefu so the solution was to open another one.
I hope umenipata man.
Hahahaaa Asante mkuu.Sawa Don Barzin nipo hapa na Hyman Roth na Vito Corleone tunatafuna cuban cigar karibu
Sent using Jamii Forums mobile app