Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbaya sana, hata kuniuma sikio jamani?
Msinifanyie hivi wapo kama watatu sasa nashindwa kujuaa yupiii,nipo sehemu mbaya network inasumbua pm zinagoma nawatumia mtaniuaa