Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu haya mambo tuwaachie hawa hawa dada zetu, mambo mengi muda mchache.Sielewi elewi mkuu...wadada wa mjini wameniambia nifungue code. Nitazijulia wapi sasa.
Nani kakutishia block mama?Hakuna kitu sipendi kama kutishiwa block nani nimtag niione hio block ya JF
Labda nimekutania au nahitaji ufafanuzi au pia nataka kukutongoza.Kwani we unavyotag watu kwenye nyuzi zako lengo ni nini? My kaka usijifanye mzito bwana na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wanawake wakikusema jua wanakupenda...Mkuu haya mambo tuwaachie hawa hawa dada zetu, mambo mengi muda mchache.
Usiumize kichwa sana, wanaupendo dada zetu humu na mpaka ikifika mida ya jioni watakuwa washazifungua hizo codes.
Kumbe ndio maana kapotea, ila si ana ma id kama yote inamaana kakimbia zote? Kama ni kweli basi watu wabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ni mengi mudaa mchachee chiiiiii.
Sasa ni mwendo wa codee
Hehheje[emoji23][emoji23]Ila nyie wanajf Mna vichwa vizito si yule mwana kuyataka mwana kuyapata yulee[emoji23][emoji23]
Yule kibonge chii hamnielewi yulee mwenye vita alianzisha na wadada wa jf bana bana hebuu msinichoshe hamjaelewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule msomi wetu yulee agggr jaman khaaa mavichwa yenu magumu kama nini?[emoji23]
Nasikia bhn saiv warembo hawajibu pm zake eeeh watu hawacomment nyuzi zakeee hahahhah hata wale waliomsapot mpaka kufikisha 1k reply kwenye nyuzi zake wapo juuuu mawingunii [emoji1][emoji1]
*/ Jf nzito hii nasikia mwana kuyataka mwana kuyapata ana kile kimboga tunapikia ugali watu wa singida chiiiii mtelezo.com chiiii jaman nimechoka kuandika hamuelewi tu [emoji41][emoji848][emoji848][emoji848]
Mweee nasikia kamat ya roho mbaya ilifanya kazi hehhehe jaman ukitag unakula block hapa ni mwendo wa codee chiiiiii wanajf mtabaki kuwa juuu.
Naskia alitaka kuwafelisha wanakimboka wa Jf chiii ila ikibidi wanakimboka wakamfelisha mwenyewe [emoji848][emoji848][emoji848].
Ikibidi wanakimboka waingie mawindoni ikibidi wanakimboka ikibidi mambo mengi muda mchache ikibidii mwana kuyapata mwana kuyataka chiiiii nimekosa soko mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyongeza : Jaman siwez kuvumilia bila kuandika uzi hapa nawashwaa hatar na vidole.
Demiss nitabak kuwa juu mawinguni lamba lolo agagaaa dudu layuuuu.
Location: RUHUWIKO HUNT CLUB SONGEA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Labda nimekutania au nahitaji ufafanuzi au pia nataka kukutongoza.
Huwa unafikiria nakuitia support?
Ngoja nisubir basi.Labda njaa ndo inanitesa ndo maana nimeshindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Really?? I didnt know this. I would really like to hear it from "them"Uzuri wanawake wakikusema jua wanakupenda...
hio code yote nimeelewa hapo kwenye kiungo cha mboga lakini nanyie wabaya kweli jiraniMambo ni mengi mudaa mchachee chiiiiii.
Sasa ni mwendo wa codee
Hehheje[emoji23][emoji23]Ila nyie wanajf Mna vichwa vizito si yule mwana kuyataka mwana kuyapata yulee[emoji23][emoji23]
Yule kibonge chii hamnielewi yulee mwenye vita alianzisha na wadada wa jf bana bana hebuu msinichoshe hamjaelewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule msomi wetu yulee agggr jaman khaaa mavichwa yenu magumu kama nini?[emoji23]
Nasikia bhn saiv warembo hawajibu pm zake eeeh watu hawacomment nyuzi zakeee hahahhah hata wale waliomsapot mpaka kufikisha 1k reply kwenye nyuzi zake wapo juuuu mawingunii [emoji1][emoji1]
*/ Jf nzito hii nasikia mwana kuyataka mwana kuyapata ana kile kimboga tunapikia ugali watu wa singida chiiiii mtelezo.com chiiii jaman nimechoka kuandika hamuelewi tu [emoji41][emoji848][emoji848][emoji848]
Mweee nasikia kamat ya roho mbaya ilifanya kazi hehhehe jaman ukitag unakula block hapa ni mwendo wa codee chiiiiii wanajf mtabaki kuwa juuu.
Naskia alitaka kuwafelisha wanakimboka wa Jf chiii ila ikibidi wanakimboka wakamfelisha mwenyewe [emoji848][emoji848][emoji848].
Ikibidi wanakimboka waingie mawindoni ikibidi wanakimboka ikibidi mambo mengi muda mchache ikibidii mwana kuyapata mwana kuyataka chiiiii nimekosa soko mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyongeza : Jaman siwez kuvumilia bila kuandika uzi hapa nawashwaa hatar na vidole.
Demiss nitabak kuwa juu mawinguni lamba lolo agagaaa dudu layuuuu.
Location: RUHUWIKO HUNT CLUB SONGEA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani we unavyotag watu kwenye nyuzi zako lengo ni nini? My kaka usijifanye mzito bwana na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teeeeh!Achaaa nakwambia anafanya kila namna lakini wapi mwana kuyataka mwana kuyapata saivi anataman awe kama zaman lakini wapiii watu wapo juuuu mawinguni[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza mkuu, twende nao taratibu😀😀😀😀Jeez,what tha fvck is this?
Please,anybody?
Huu uzi utakuwa mrefu sana
JF bhana!
Mkuu haya mambo tuwaachie hawa hawa dada zetu, mambo mengi muda mchache.
Usiumize kichwa sana, wanaupendo dada zetu humu na mpaka ikifika mida ya jioni watakuwa washazifungua hizo codes.
They use irony.Really?? I didnt know this. I would really like to hear it from "them"
🤔🤔Kumbe ndio maana kapotea, ila si ana ma id kama yote inamaana kakimbia zote? Kama ni kweli basi watu wabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app