Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Hivi hawa member wapya mnaowasalimu kwa bashasha mmewaleta wenyewe jukwaani au ni mashost wenu wa siku nyingi wameamua kutukimbia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa member wapya mnaowasalimu kwa bashasha mmewaleta wenyewe jukwaani au ni mashost wenu wa siku nyingi wameamua kutukimbia?
Wew pm yako umeifunga best halafu sipendi urafiki gani huu wakufungiana pm😩😩😩Njoo nikufungulie uje kuserereka huku mama hivi na wewe yalikupita chiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha demiss mbona kama namjuaaaaaa si yule naniliuuuuu hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke atamsema mtu asiye na muda nae? Tema mate chini kisha niambie ukweli.
Nakubali nakubali, ila sema nini hebu usiwatese sana wadau, tapika yote hebu
Mwanamke bila umbea ujakamilika bado nikuulize wewe kidume kwenye mada hii umefata nini kwa mfano [emoji41]
Hiiiiiiiiiiiiiiii utabaki kileleni mamaYuleeeeee jaman yuleee kibonge wetu nina upaaaaaaaa paaa la nyumba chii
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hiyo anasema Daby Kwamba mwanamke akikupenda ataanza kukusemaaa
Nimeshatemaa kwa huyo tunaemsema hapa hatumpendi hata toneMwanamke atamsema mtu asiye na muda nae? Tema mate chini kisha niambie ukweli.
Mwenzangu moja ndo inatumika angalau angalau .....ila aimuonioni sikuhizi ....halafu mwenyewe anahisi hajulikani na vile vi I'd vyake uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe?? Hata wapenzi watazamaji na wapenzi waskilizaji hawaruhusiwi??Mwanamke bila umbea ujakamilika bado nikuulize wewe kidume kwenye mada hii umefata nini kwa mfano 😎
Wew pm yako umeifunga best halafu sipendi urafiki gani huu wakufungiana pm[emoji30][emoji30][emoji30]