Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Achaaa nakwambia anafanya kila namna lakini wapi mwana kuyataka mwana kuyapata saivi anataman awe kama zaman lakini wapiii watu wapo juuuu mawinguni[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
Kumbe ndio maana kapotea, ila si ana ma id kama yote inamaana kakimbia zote? Kama ni kweli basi watu wabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jeez,what tha fvck is this?

Please,anybody?
 
hio code yote nimeelewa hapo kwenye kiungo cha mboga lakini nanyie wabaya kweli jirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…