Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Duh! Bibie kwa umbeaaaDemiss ujue dhambi ndogondogo sipendi asubuhi yote hii naomba nifungulie code kabla sijakufata pm ππππ
Unahitaji kujua nini mr relief?Really?? I didnt know this. I would really like to hear it from "them"
Boss humu JF Luna clique za kimbokalism typically we hujuiWana kimboka???
neno kimboka lina maana gani!....sio kuna sehemu wanaojiuza wadada inaitwa kimboka?
Yaani humu kuna kusupportiana kwenye nyuzi!
Ama kweli nimekuwa mgeni JF.
Nakubali nakubali, ila sema nini hebu usiwatese sana wadau, tapika yote hebu
Mwanamke bila umbea ujakamilika bado nikuulize wewe kidume kwenye mada hii umefata nini kwa mfano πDuh! Bibie kwa umbeaaa
hio code yote nimeelewa hapo kwenye kiungo cha mboga lakini nanyie wabaya kweli jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
Demiss ujue dhambi ndogondogo sipendi asubuhi yote hii naomba nifungulie code kabla sijakufata pm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeushika moyoo mpendwa nina ujumbe wako pm ukuje mara moja πππ
Mwenzangu moja ndo inatumika angalau angalau .....ila aimuonioni sikuhizi ....halafu mwenyewe anahisi hajulikani na vile vi I'd vyake uchwaraKumbe ndio maana kapotea, ila si ana ma id kama yote inamaana kakimbia zote? Kama ni kweli basi watu wabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikuwa sijui kabisa... ila hii misamiati inayotumiwa inadhihirisha.
Ana ladies fingerHa ha ha. Nahisi kama nimekuelewa vile?π
Kwamba anakinaniliu π
Hahahahahahahahahah utafiti huu umefanyia wapiUzuri wanawake wakikusema jua wanakupenda...