Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Unamzungumzia USA malizia maneno mengineSi yule member aliekuwa anaishi udisporani.. sijui kama code itakuw yenyewe
Tunda la roho ni upendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamzungumzia USA malizia maneno mengineSi yule member aliekuwa anaishi udisporani.. sijui kama code itakuw yenyewe
Tunda la roho ni upendo
Unamzungumzia USA malizia maneno mengine
Hata sijaelewa duh, DemissMambo ni mengi mudaa mchachee chiiiiii.
Sasa ni mwendo wa codee
Hehheje[emoji23][emoji23]Ila nyie wanajf Mna vichwa vizito si yule mwana kuyataka mwana kuyapata yulee[emoji23][emoji23]
Yule kibonge chii hamnielewi yulee mwenye vita alianzisha na wadada wa jf bana bana hebuu msinichoshe hamjaelewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule msomi wetu yulee agggr jaman khaaa mavichwa yenu magumu kama nini?[emoji23]
Nasikia bhn saiv warembo hawajibu pm zake eeeh watu hawacomment nyuzi zakeee hahahhah hata wale waliomsapot mpaka kufikisha 1k reply kwenye nyuzi zake wapo juuuu mawingunii [emoji1][emoji1]
*/ Jf nzito hii nasikia mwana kuyataka mwana kuyapata ana kile kimboga tunapikia ugali watu wa singida chiiiii mtelezo.com chiiii jaman nimechoka kuandika hamuelewi tu [emoji41][emoji848][emoji848][emoji848]
Mweee nasikia kamat ya roho mbaya ilifanya kazi hehhehe jaman ukitag unakula block hapa ni mwendo wa codee chiiiiii wanajf mtabaki kuwa juuu.
Naskia alitaka kuwafelisha wanakimboka wa Jf chiii ila ikibidi wanakimboka wakamfelisha mwenyewe [emoji848][emoji848][emoji848].
Ikibidi wanakimboka waingie mawindoni ikibidi wanakimboka ikibidi mambo mengi muda mchache ikibidii mwana kuyapata mwana kuyataka chiiiii nimekosa soko mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyongeza : Jaman siwez kuvumilia bila kuandika uzi hapa nawashwaa hatar na vidole.
Demiss nitabak kuwa juu mawinguni lamba lolo agagaaa dudu layuuuu.
Location: RUHUWIKO HUNT CLUB SONGEA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12]kuwa mpole tu kama mieBasi nikadhani mimi ni mwenyeji JF, kumbe ndio kwanza hata mtaa wa pili sijafika!
Kazi kweli kweli.
- KANA -
Hahahahahahahahahaha.Achaaa nakwambia anafanya kila namna lakini wapi mwana kuyataka mwana kuyapata saivi anataman awe kama zaman lakini wapiii watu wapo juuuu mawinguni[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pugu KajiungeniHii njia niliyopita sijui inatokea wapi
Nimekosea njia natakiwa kwenda TANDAHIMBAPugu Kajiungeni
Pita ya Mtama au Nanyambaa!!!Nimekosea njia natakiwa kwenda TANDAHIMBA
Pita ya Mtama au Nanyambaa!!!Nimekosea njia natakiwa kwenda TANDAHIMBA
Duh[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Lile agano lako la kutokufungua Uzi naona umelipangua.
Code nzito hii imenishinda.[emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app