Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Mambo ni mengi mudaa mchachee chiiiiii.
Sasa ni mwendo wa codee
Hehheje[emoji23][emoji23]Ila nyie wanajf Mna vichwa vizito si yule mwana kuyataka mwana kuyapata yulee[emoji23][emoji23]

Yule kibonge chii hamnielewi yulee mwenye vita alianzisha na wadada wa jf bana bana hebuu msinichoshe hamjaelewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule msomi wetu yulee agggr jaman khaaa mavichwa yenu magumu kama nini?[emoji23]
Nasikia bhn saiv warembo hawajibu pm zake eeeh watu hawacomment nyuzi zakeee hahahhah hata wale waliomsapot mpaka kufikisha 1k reply kwenye nyuzi zake wapo juuuu mawingunii [emoji1][emoji1]

*/ Jf nzito hii nasikia mwana kuyataka mwana kuyapata ana kile kimboga tunapikia ugali watu wa singida chiiiii mtelezo.com chiiii jaman nimechoka kuandika hamuelewi tu [emoji41][emoji848][emoji848][emoji848]

Mweee nasikia kamat ya roho mbaya ilifanya kazi hehhehe jaman ukitag unakula block hapa ni mwendo wa codee chiiiiii wanajf mtabaki kuwa juuu.

Naskia alitaka kuwafelisha wanakimboka wa Jf chiii ila ikibidi wanakimboka wakamfelisha mwenyewe [emoji848][emoji848][emoji848].

Ikibidi wanakimboka waingie mawindoni ikibidi wanakimboka ikibidi mambo mengi muda mchache ikibidii mwana kuyapata mwana kuyataka chiiiii nimekosa soko mweeh [emoji23][emoji23][emoji23]

Nyongeza : Jaman siwez kuvumilia bila kuandika uzi hapa nawashwaa hatar na vidole.
Demiss nitabak kuwa juu mawinguni lamba lolo agagaaa dudu layuuuu.




Location: RUHUWIKO HUNT CLUB SONGEA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijaelewa duh, Demiss
 
Write your reply...duuh hivi inakuaje mnahangaika na I'd ya mtu yani mtu anaishi nyuma yakibodi Hakuna ualisia wowote na kile anachokiwakilisha na anachoishi

😂 😂 hau jamaa kawapitia wote kawatema

natania tu nlkuwa napita hii njia naelekea barabara ya jamii photos
 
Code code code!
Code everywhere!
Bank account code!
Tigo pesa code!
Halopesa code!
MTN money code!
M pesa code!
Airtel money code!!
I'm fed up with the code![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom