JF Party On My Mind

ni fursa ya mimi na wewe kukutana na kupanga ile mipango tuliogusia juzi
 
Mimi kukiwa na mziki mkubwa wa hivyo itabidi nijikabidhi kwa mtu kabisa aniangalie unywaji wangu awe ananikataza. Mziki sio rafiki sana kwangu nikiwa na kunywa maana ntatoa mauno yote mpaka ya chumbani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] aseee.....mbona ntajionea kituko siku hiyo?

Hata usipojitambulisha nishakujua! Nikiona demu anakata mauno ya kihasara hasara siku hiyo najua ni wewe japo sikujui[emoji23]
 
Tunaandaa watu wasipoonyesha mwamko tunajibena tuliokuwepo tunatafuta hata nyumba tunaandaa bbq na swimming. Tuhakikishe makutano yanawezekana
Hii ya ktk NYUMBA utanipata kilaini mno,na baadhi ya gharama nitasimamia show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…