JF Party On My Mind

Watumiaji wake wengi wamehamia kwenye Savannah.
Yes...... Savanna/ heneiken/ Windhoek hazisumbui tumbo!

Yaan kiufupi imported zote hazina noma labda pombe kali na yenyewe ukizidisha inakupa warning!

Kunywa mataputapu ya hapa sasa uone kama hakuna siku haujajinyea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]( povu kama loote)
 
Kutupikia ingependeza tupate beach house tukapike huko. Tukikodi eneo kama escape one tutakosa huu utamu mkuu
 
Mi nikiendaga sehemu hakuna freixenet, Robertson mbadala unakuwa hizo savanna na nikianza sitaki ninywe tena tofauti na hiyo! Haya mapombe inabidi uwe mjanja kucheza nayo! La sivyo yatakuaibisha tuu!
Mimi zinaniabishiaga ila kitandani tu. Nikishaingia ndani ndo network inakata yote. Huku nje inaweza ikakata ila mtu asijue kabisa..
 
Mi nikiendaga sehemu hakuna freixenet, Robertson mbadala unakuwa hizo savanna na nikianza sitaki ninywe tena tofauti na hiyo! Haya mapombe inabidi uwe mjanja kucheza nayo! La sivyo yatakuaibisha tuu!
Hakuna pombe nisizoweza kama hizi chungu chungu .....heineken sijui ...whisky ....siwezi yaan mtu akinywa najiuliza anameza vipi.
 
Aliyekupa hicho cheo kakosea sana yaani wewe jamaa mhhh hope pombe hazipandi mpaka kufikia kuchukia mikate huku ukiona ni uharibifu wa ngano ya kutengenezea bia[emoji23]
nimepewa kitengo cha kukusanya michango tafadhari nimeanza na wewe hata kama hutotokea

NB: mchango wako muhimu sana ili kufanikisha
 
Hapo naweza Savannah tu hizo zingine nashindwa hata robo simalizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna pombe nisizoweza kama hizi chungu chungu .....heineken sijui ...whisky ....siwezi yaan mtu akinywa najiuliza anameza vipi.
Mazoea tuu...mi vitu vichungu namimi vinanizingua!

Hakuna kitu nashangaa kumuona mdada kashika safari lager anashusha kooni asee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Nilitaka nikupe ofa leo, basi tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…