JF Party On My Mind

Hii misosi mbona nimeitamani ghafla[emoji36] [emoji36]
 
Nadhani muhimu tupate privacy ya kutosha na place ya kufanya mambo yetu kwa Uhuru na space.. Then na Mimi nipate space ya kufanya sanaa zangu kwenye food catalogue arena.
Beach house basi iwe na sio sehemu kma escape one ili tupate nafasi zaidi. Hata vinywaji na msosi vitakua vingi maana tutapika wenyewe labda na mpishi mwingine mwenye jiko
 
Tunaweza andaa usafiri. Hela si itachangwa bwana. Huko huko tunatoa na ya usafiri. Watu wanakuja mpaka feri wakivuka upande wa pili kunakua na coaster ya kuwaletea eneo la tukio.
Kwa watu wa private transport inakuwaje?
Simara
 
Tunaweza andaa usafiri. Hela si itachangwa bwana. Huko huko tunatoa na ya usafiri. Watu wanakuja mpaka feri wakivuka upande wa pili kunakua na coaster ya kuwaletea eneo la tukio.
Kuna sehemu kama packchonjo ni pazuri , na maeneo ya karibu na hapo kuna beach house zingine...wanaruhusu mnapika..mnaenda na vinywaji...na wahudumu wapo...ila ni mbaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…