Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Hii mkipanga lazima nije...
Ila nikija nikiwakuta baadhi ya watu then it’s going down.
Bombs away and straight up ass whupin maana ugomvi wangu huwa hauishi.
Just make the date and I’ll show up ready to catch fade.
Naomba kuchangiwa tafadhali[emoji3][emoji16][emoji16]!![emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39]Za JF zote zilikua na vinywaji kdg na vitafunwa ,OK nisiharibu wazo lako ,naunga mkono hoja ingawa nitakua mpokea ripoti humu JF
Anayehitaji nitamchangia hy elf 10
Hivi kumbe bia sio pombe hii elimu naihitaji aise .Bia sio pombe mkuu. Tena safari zinaongeza damu sana kwa mjamzito. Toka nimeanza kuzinywa damu yangu haikuwahi kupungua. Wakati nilikua nakula matunga nakunywa rozela beetroot haipandi. Kunywa safari tu nikasahau shida za kuambiwa damu inapungua
Kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Elfu kumi??[emoji15] [emoji15] [emoji15] ......hata get together ya darasa la saba ina nafuu[emoji23]
Ok,Ngoja tucheck mkuu kama ni ukumbi au wapi.
Hapo sasa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona eeeh! Sisi hatuna mbwembwe nyingi kama nyie wa Daslam!
We umekubuhu na pombe,Cocktails nazo naonaga miyeyusho tu ...yaan ni no stimu sijui kwa ajili ya barafu zile[emoji15]
Hahaha, haina tatizo muhimu uende uniletee taarifaNaomba kuchangiwa tafadhali[emoji3][emoji16][emoji16]!![emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39]
MmmhWa mkoani kaeni huko huko[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]!!!
Babu rudi nyumbani kumenogaHahaha, haina tatizo muhimu uende uniletee taarifa
Weee mchanaga bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza umenituhumu then unauliza natumia pombe gani?[emoji15] [emoji15]We umekubuhu na pombe,
Cocktails haina stim?
Unatumia pombe gani kwanza?
Mimi bia imenishindaa!!Waoow! Basi bia ina faida sasa....tena kwenye kitu sensitive kama damu!
Heko wanywaji wa maji ya rangi ya mende [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Fortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!Mimi bia imenishindaa!!
Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.
Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.
Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.
Cider harufu ya Apple imenishindaa,
Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Hii Party wanywa local bia watakua wachache ama wasiwepo kabisaMimi bia imenishindaa!!
Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.
Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.
Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.
Cider harufu ya Apple imenishindaa,
Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Nauliza unakunya pombe gani nijue hiyo pombe ukiboko wake nini mpaka cocktail ishindwe kukupa stim??Weee mchanaga bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza umenituhumu then unauliza natumia pombe gani?[emoji15] [emoji15]
Haya nakunywa mbege!
Wewe hujui kuwa tumetofautiana vichwa?[emoji15] [emoji15]Nauliza unakunya pombe gani nijue hiyo pombe ukiboko wake nini mpaka cocktail ishindwe kukupa stim??
Mi hata cocktail ya 100ml nasikia kizunguzungu!!
Regency, Madeira, sherryFortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!
Unakunywa capirinya??