General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Haya njoo uchukue Sola,Natumia only imported beverages mkuu!
Lemutuz mshkaji wangu itabidi awepo tuu mkuu.Pamoja na kwamba sipendi kujichanganya hila hii nitafika mapema sana.
Nitakutana na wanaonifahamu lakini nani anajua mm ni nani JF!! Akunaaa.
Nikimuona nifah wa the bold nitamjua tu ahaaa..
Ila lemutuz akijitokeza narudi home mda huo huo kulala.
Wazo zuri mzigua.
Bucket naweza kupata bila tatizo.Ok,
Kama ni ukumbi nitawafanyia punguzo la 70% kwenye ukumbi, mtupe tenda ya chakula la vinywaji. Ni ukumbi matata kwa Dar, na ndo tunakimbiza kumbi zote za harusi.
Ila kama mtafanya ya kibabe flani hivi, mnazima pale Buckets au nextdoor, tunafanya mazambi ya kutoshaaa.
Una urafiki na yule jamaa?Lemutuz mshkaji wangu itabidi awepo tuu mkuu.
Kujulikana julikana nako sio kuzuri !Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
AseeeLemutuz mshkaji wangu itabidi awepo tuu mkuu.
We ushazoea brandy na whisky hizi tuachiee sisiImage siisikiagi kabisa
Hasa watu kama sisi tusio eleweka eleweka,na mabaya yetu lukuki. Sasa tukijuana ndio hatari.Kama una mabaya unajificha nayo
Kama hutojali njoo Golden memory,Siwezi waachia huwa napiga hizo na mimi nikiwa sitak kulewa.
Ndo uje na jina lako ukajiita hili tu tunakujuaHasa watu kama sisi tusio eleweka eleweka,na mabaya yetu lukuki. Sasa tukijuana ndio hatari.
Watu kama sisi kupiga picha mwicho,sasa tukijichanganya na ikatokea tumejitambulisha,daah sijui itakuwaje.
Sijakuelewa !Ndo uje na jina lako ukajiita hili tu tunakujua
Sinza mori,Golden memory iko kwa wapi hiyo mkuu?