Kwa mfano mchumba unaweza toa offer ya champagne kwa best couple.Kuna tajiri anaitwa Mikwara Ya Andunje amesema vinywaji ni juu yake... (Joking).
Ila ukweli utaratibu wa kuchangia equal amount nadhani ungekuwa favorable kwa kila mmoja.
Unakuja ukiwa na confidence ya kwamba unakula cha kwako, mambo ya watu kuahidi ntatoa hiki wakati mwingine yana disappoint pale aliyetoa ahadi akikwama last minute.
Hiyo mada haiwezekani mubashara kufanyika?Nini hiyo?
Sijakuelewa mkuuNadhan watu watakuwa wanakutana..Anyway uko wapi ww i hope tunaweza meet this week or next..Mi niko Dar bt after 2 weeks from this one i will be at Moro
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mchumba usipokuja tunaachanaMimi sitahudhuria, gathering za hivyo huwa siyo mpenzi.
I can do ile ya watu wachache sana, wasiozidi 20, ambao ni rahisi kukata meza moja, ila hiyo hata nikihudhuria sitainjoy.
Kwenye za watu wengi hivyo huwa najikuta nimejitenga automatically.
Sanaa, inawezekana kwa walio na nia watakua haohaoNimeambiwa watu wanazinguaga michango. Ila hata wakiwa watu kumi inatafutwa venue ya hiyo idadi watu tunakula bata