JF Party On My Mind

Hahahhahahahahhahahahahahhahahahha khaaaa mkuu una ubuyu mtamu mtamu eeeh
Hahaaa. Najaribu tu hizi fani zenu wakati siziwezi.

Ukweli ni kwamba humu kuna vidume huwa vinajimilikisha warembo ingawa siye UNDERGROUND tunabeba mzigo KIMYA KIMYA ....

Mbaya zaidi kuna mizigo ukiisuuza roho inaanza kutoa CV za hao MAARUFU wanaojimilikisha.

Dunia ndivyo ilivyo bora kukaa kimya tu.

Take care mkuu.
 
Kwahiyo mkuu hawa wenye couples mademu zao umewala mbunyeee[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Tukutane mkoa gani? Dar hapafai
 
Kwahiyo mkuu hawa wenye couples mademu zao umewala mbunyeee[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Uuuwwiii. Naomba usinigombanishe na watu humu. Wengine sijui wana majini.

Kwa ufupi sijala mbunye za watu. Ila kuna wawili watatu walisifiwa sanaaaa kwa muda mreeefffuuuu.

Sasa siye marijali huwa tunapatwa na swali moja WHY? na la pili KWANI YUKOJE/ANA NINI CHA ZIADA?

Kisha hujitosa ili tusiondoke Duniani pasipo kulamba hizo dhahabu.

Any way usiulize swali jingine kama hili ambalo nia yako ni kutaka kuwatambua walengwa. Elewa hadi hapa baasssiiii.
 
Kwa nini unampangia mtu cha kufanya?
Wewe unapangiwa cha kufanya? Huna maamuzi??
Yukoje yukoje simfatiliagi[emoji15] [emoji15]

Mara naona DOMPO mara vile...sielewi yaaan au sio mbongo???
Mpe akupe, something for something.

Quid Pro Quo.
Usipangiwe fanya vitu kwa utashi wako
Wala sihitaji kitu cha mtu mimi!

Na ktk vinywaji vyake alivyosuggest hakuna nachotumia upo nyonyo?
...asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…