JF Party On My Mind

Ili kulinda identity inabidi siku hiyo usinywe kabisa. Unapiga zako maji ya limao na nyama choma.
Kwani kuna shida gani mtu akijua ID yako? Wewe una kipi hadi serikali ikutafute kwenye hiyo party? wakati hujawahi kumtukana hata Mod? Muda wote huko chit chart na Demiss mnazungumzia Mikuyenge na papuchi?
 
Siyo mimi mkuu, huo ulikuwa ni ushauri wangu kwa Mbao za Mawe

Mimi sitakuja, so sitajificha.

Ila nitashiriki kwa sababu kuna mtu nitatakiwa kumrudisha nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…