JF Party On My Mind

Hata huko alikotoka Askofu Rwaichi kuna raha balaaaaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu mbona hukuleta mrejesho? mchango ulitimia wa kukuwezesha kuja Dsm?
Hapana sikupata hata senti moja!!!πŸ™πŸ™πŸ™
 
Good idea as long as watu hawatatambulisha ID zao /zetu tunazotumia huku JF.
 
Pole sana MkuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nimeshapoa. Waliomsindikiza wamesharudi tayari.
Najindaa sasa kwenda Bagamoyo kwa ajili ya jubilee ya miaka 150 ya ukirsto Tanzania. Hii yenyewe tunatakiwa kuchangia Tshs150,000/=
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
basi anza kufanya michakato mapema ili utimize malengo yako
 
Sasa hiving nafanya sevingi ya hela zangu kwa ukamilifu. Nimepunguza hata bia. Kwasasa nakunywa Bia 4 tu kwa siku, kabla ya hapo nilikuwa nakunywa 9 kila sikuπŸ™„πŸ™„
 
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Basi punguza kabisaaaaa uwe unapata even 1 hizo nyingine uendeleee kufanya saving
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…