JF Party On My Mind

Elf 10 ,mmmh hizo gharama zikoje ,hebu jaribu kufanya rafu bajeti , ya ukumbi ,vinywaji na bites kdg

Ingawa sio muhudhuriaji ila elf 10 ndogo ( mtazamo Wangu )
Kwani vinywaji wanapewa? sasa mimi na Shunie si tutawapunja jamani? Mi naona hiyo elfu 10 kwa ajili ya venue vingine mtu anajitegemea. Sijawahi enda party tukapewa vinywaji au msosi aisee.. labda iwe kitu kama dinner party hivi kuwe na msosi na vinywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…