Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #121
Kwani vinywaji wanapewa? sasa mimi na Shunie si tutawapunja jamani? Mi naona hiyo elfu 10 kwa ajili ya venue vingine mtu anajitegemea. Sijawahi enda party tukapewa vinywaji au msosi aisee.. labda iwe kitu kama dinner party hivi kuwe na msosi na vinywajiElf 10 ,mmmh hizo gharama zikoje ,hebu jaribu kufanya rafu bajeti , ya ukumbi ,vinywaji na bites kdg
Ingawa sio muhudhuriaji ila elf 10 ndogo ( mtazamo Wangu )