Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi pale mikocheni still unajongeaga?Sawa rafiki tutakua mimi na wewe siku hiyo
That can be arranged but it cost an arm and a leg kidogo.
Hii nzuri zaidiSo what about BOAT CRUISE PARTY?
HahahahaPhobia boss....
Mambo ni hivi[emoji91] [emoji91] [emoji91] ...ifike hiyo DecKama naona yanii hiyo sikuuu
Unaonekana bado mgeni sana, haya mambo yashafanywa mno na wala si mambo ya fbUsilete mambo ya whatsapp humu, jf mjumuiko wa watu ndani ya nchi na nje ya nchi
See, hahahaWhat a splendid day?!!...Sat itakuwa blast[emoji324] [emoji324] [emoji324] [emoji314] [emoji91] [emoji91]
😀Hahahahaa..
Wengine tunapenda mziki mkubwa huku tukiwa tunashusha chupa taratibu....Lol.. club vipi sasa.? Idea yako kutoka na experience sio mbaya kabisa
Hahaha Witness that 50k doesn't factor in some wines.Fanya 50k kama ulivyoshauriwa na wadau..30k ndogo sana!
Mfano mi sinywi bia! Only wine na kama ni escape moko pale vinywaji huwaga bei u see?
50k INA sound vzr ,na inakua ki JF zaidi ,halafu akiweka muda mbn inapatikana?Fanya 50k kama ulivyoshauriwa na wadau..30k ndogo sana!
Mfano mi sinywi bia! Only wine na kama ni escape moko pale vinywaji huwaga bei u see?
Sure but mtu unaorder kiwango cha chini ya hiyo amount....Hahaha Witness that 50k doesn't factor in some wines.
Uko kama Mimi...mziki mkuubwa, shusha vitu kwenye koo!Wengine tunapenda mziki mkubwa huku tukiwa tunashusha chupa taratibu....
Ndio huwa nakula pale kwanza then naingia pale Heinken house nakunywa chupa zangu narudi zangu kulala....Sijaenda mitaa ile siku nyingi kweli.. unaendaga pale kwenye mdudu?
Exactly.... But naamini tutafanikisha!Tunaandaa watu wasipoonyesha mwamko tunajibena tuliokuwepo tunatafuta hata nyumba tunaandaa bbq na swimming. Tuhakikishe makutano yanawezekana