Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ndio niliyoomba ili nitume?Kwenye simu..
hii inatoa fursa ya kupata eneo pendwa popote dar na viunga vyake100k parefu mkuu.. labda tutokw nje ya Dar
kazi kwako namna ya kunifikishiaNdio
Binafsi napenda vacation ,so nyie pangeni tu ,km sehemu nzuri na muda upo ,mbn inawezekana tu100k parefu mkuu.. labda tutokw nje ya Dar
JF ya zamani washaenda hadi Tanga Amboni ,OK mdg mdg sio mbaya ,anza na hyKutoka nje ya Dar sio rahisi. Hapa hapa kwanza...
Unakunywaga wines gani?Bia stakii. Wine sawa
InshaAllah shogaangu...Mungu atufanyie wepesii ikawe..Tuombe Mungu shoga
Duuh hadi Tanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Walikua wanaishi vizuri sana hawa
Unapenda sana vacation eehh chake[emoji4]??Binafsi napenda vacation ,so nyie pangeni tu ,km sehemu nzuri na muda upo ,mbn inawezekana tu