Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hoja yako haina mashiko ...kaa chiniUsilete mambo ya whatsapp humu, jf mjumuiko wa watu ndani ya nchi na nje ya nchi
Savannah huwa inawelesha wadada haraka mno...Usinywe hard beverages kama hizo unazozisema sijui jack Daniel... Kunywa vitu soft! Savannah, Windhoek/ heneiken, sweet wines etc...
na picha zangu si wanazo......hahahahaaa ntakomajeHahahaaa
Mmmmh savannah na reds hata ninywe makatoni ni kama nakunywa juice!Savannah huwa inawelesha wadada haraka mno...
Siku hiyo anywe maji tu [emoji5]
ok i can organize it if possible.
Wee.. madeni yake mengine hayalipiki
Savana nimeachana nayo toka 2015. Hiyo siku nilianza kunywa toka saa sita mchana mpaka saa naje usiku sisikii kitu. Nikanywa JD chupa ndogo mbili nikaona hamna kitu nikarudi home kulala. Nilivyoingia ndani tu nikazima. Matukio mengine nilihadithiwa nilivyoamka saa tano. Niliumwa kichwa jamani na kurudisha chenchi kama kote. Kuanzia pale nikafunga mkataba na savanna kwa tamu sana.Savannah huwa inawelesha wadada haraka mno...
Siku hiyo anywe maji tu [emoji5]
Bhasi mnatofoutiana kuna mdada nilitoka nae nikamtoa tano tu mdada wa watu hoi....Mmmmh savannah na reds hata ninywe makatoni ni kama nakunywa juice!
Je kwa mzigua si ndo kama chai kwake[emoji15]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] sikuamini kabisa wewe ngosiSiwezi kuikosa hii
nimepewa kitengo cha kukusanya michango tafadhari nimeanza na wewe hata kama hutotokeaEnzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha
Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa
wenye akili walidaka madili ya maana
etc etc etc
Aise wewe ni kiboko white...Savana nimeachana nayo toka 2015. Hiyo siku nilianza kunywa toka saa sita mchana mpaka saa naje usiku sisikii kitu. Nikanywa JD chupa ndogo mbili nikaona hamna kitu nikarudi home kulala. Nilivyoingia ndani tu nikazima. Matukio mengine nilihadithiwa nilivyoamka saa tano. Niliumwa kichwa jamani na kurudisha chenchi kama kote. Kuanzia pale nikafunga mkataba na savanna kwa tamu sana.
Hivi reds bado zipo? Kapombe nilikua nakapenda hakaMmmmh savannah na reds hata ninywe makatoni ni kama nakunywa juice!
Je kwa mzigua si ndo kama chai kwake[emoji15]
Kosa moja savanna haitaki kumixiwa!Savana nimeachana nayo toka 2015. Hiyo siku nilianza kunywa toka saa sita mchana mpaka saa naje usiku sisikii kitu. Nikanywa JD chupa ndogo mbili nikaona hamna kitu nikarudi home kulala. Nilivyoingia ndani tu nikazima. Matukio mengine nilihadithiwa nilivyoamka saa tano. Niliumwa kichwa jamani na kurudisha chenchi kama kote. Kuanzia pale nikafunga mkataba na savanna kwa tamu sana.