JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Savannah huwa inawelesha wadada haraka mno...

Siku hiyo anywe maji tu [emoji5]
Savana nimeachana nayo toka 2015. Hiyo siku nilianza kunywa toka saa sita mchana mpaka saa naje usiku sisikii kitu. Nikanywa JD chupa ndogo mbili nikaona hamna kitu nikarudi home kulala. Nilivyoingia ndani tu nikazima. Matukio mengine nilihadithiwa nilivyoamka saa tano. Niliumwa kichwa jamani na kurudisha chenchi kama kote. Kuanzia pale nikafunga mkataba na savanna kwa tamu sana.
 
Mmmmh savannah na reds hata ninywe makatoni ni kama nakunywa juice!

Je kwa mzigua si ndo kama chai kwake[emoji15]
Bhasi mnatofoutiana kuna mdada nilitoka nae nikamtoa tano tu mdada wa watu hoi....

Nikabeba kupeleka room mbio mbio yale mahanjumati walai sitoyasahau lile tendo huwa linanoga sana mdada akiwa katupia vitu kwenye kichwa lol....
 
Enzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha

Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa

wenye akili walidaka madili ya maana

etc etc etc
nimepewa kitengo cha kukusanya michango tafadhari nimeanza na wewe hata kama hutotokea

NB: mchango wako muhimu sana ili kufanikisha
 
Savana nimeachana nayo toka 2015. Hiyo siku nilianza kunywa toka saa sita mchana mpaka saa naje usiku sisikii kitu. Nikanywa JD chupa ndogo mbili nikaona hamna kitu nikarudi home kulala. Nilivyoingia ndani tu nikazima. Matukio mengine nilihadithiwa nilivyoamka saa tano. Niliumwa kichwa jamani na kurudisha chenchi kama kote. Kuanzia pale nikafunga mkataba na savanna kwa tamu sana.
Aise wewe ni kiboko white...
 
Kosa moja savanna haitaki kumixiwa!

Yaan hata ukiimix na wine lazima ufanye vioja
 
Back
Top Bottom