JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Bhasi mnatofoutiana kuna mdada nilitoka nae nikamtoa tano tu mdada wa watu hoi....

Nikabeba kupeleka room mbio mbio yale mahanjumati walai sitoyasahau lile tendo huwa linanoga sana mdada akiwa katupia vitu kwenye kichwa lol....
Sema pombe ina siku na siku za kumuendesha mtu
 
Wooow!! Nimefurahi kusikia kuna wazo la kulaunch party ya namna hii... We only live once..let's gooooo guys!

Party, drinks and foods zinaenda pamoja kama Shehe na ubwabwa vile.. Personally huwa naamini food is the another way of celebrating life na kwa vile Nina background ya culinary and Italian cuisine from one of the very prestigious university in the world.. I promise kama nitahudhuria hiyo party nitawaandalia na nitawapikia food moja murua na matata sana inaitwa "Carbonara" ni Italian cuisine hii, dish hii iko deceptively simple but with classy, yaani ingredients zake baadhi ni spaghetti, eggs, pecorino cheese, cured guanciale, and black pepper, najua nikiwatolea good version ya hii menu trust me I will make your day and the party will be forever remembered.

Hapo sijazungumzia Lasagna na Ribbolita these are heart food from Italy ninazomudu kuzitoa catalogue zake kwa uzuri wa kutosha tu. Ndio maana hadi kuna member humu namuonaga anajiita Beef Lasagna atakuwa anaujua utamu wa lasagna from Italy.

Zote hizi nitawapikia bure bila gharama zozote. Trust me we gonna have a party of a lifetime. Hoja imepita nadhani muhimu ni kila mmoja kuvolunter kwenye section anayoimudu... Tutengeneze once in a lifetime event. JF get together party.

N;B Nimeweka na picture za kazi zangu za upishi casual wa nyumbani tu for more clarification.
2731501672_1b8950e2b6_o.jpg
IMG_20180910_194052_274.JPG
 
Back
Top Bottom