witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Umeshinda wapi[emoji15] [emoji15]Mr chura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshinda wapi[emoji15] [emoji15]Mr chura
utanipa mrejesho mkuuNtaonja weekend hii!
Mm ugonjwa wangu ni weupe na guu na imani Mungu hajakunyima vyote mkuuHata wa kutishia watoto sina![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] flaat nchi km zotee!!!
Wapiiii!daah![emoji39] [emoji39] [emoji39]Mwaka Jana tulikutana baadhi ya member tulikuwa 20+ .
Hakika ilipendeza sana.
Hii pia Mimi nipo tayari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibuuNilikua wapi miye mambo matamu km haya yakanipita!naunga mkono hojaa!
😂😂😂😂😂😂 tunaongeza damu na kumsaidia jiwe kukusanya kodi😂😂Walevi on fliik[emoji2]
Wa mkoani kaeni huko huko[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]!!!Naona mnataka kurudisha enzi za White party pale Kerby hôtel na JF get together pale Escape one, wazo zuri
Sisi wengine tutasubiri report hapa km kawa
Ndo nafika na usingizi huu hapa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibuu
Mrejesho muhimuutanipa mrejesho mkuu
Nawaona kodi zenu ndo zinalisha nchi siku mkiacha kilevi nchi haiendeshekii!![emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaongeza damu na kumsaidia jiwe kukusanya kodi[emoji23][emoji23]
owky.... ntafurahi sana kama ukiipenda 😂Napenda mint taste/ flavour...surely this weekend ntaionja!
Thanx mkuu
owky.... ntafurahi sana kama ukiipenda 😂Napenda mint taste/ flavour...surely this weekend ntaionja!
Thanx mkuu
😂😂😂😂 sisi ni watu muhimu sana ujueNawaona kodi zenu ndo zinalisha nchi siku mkiacha kilevi nchi haiendeshekii!![emoji2]
Huko huko mnywe togwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na sisi wa mikoani tuandae yetu
Acha tu!nilitaitiwa na mzee baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeshinda wapi[emoji15] [emoji15]
Sivai vimini miye[emoji2] [emoji2] [emoji2] weupe miye black pyuaa!!!yaani km lami!!!Mm ugonjwa wangu ni weupe na guu na imani Mungu hajakunyima vyote mkuu
Nakubaliana na hiloo!!hilo limepitaa [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi ni watu muhimu sana ujue
Ooooh.. hii naweza kuorganize bila shida. Ntaongeana boss Max tuone inakuaje.
Ishu ya ukumbi nipeni mimi,Ndio inavyofanyika. Tafuta ukumbi mzuri mfano Escape One,ongea nao ujue gharama za kupata section kwa ajili ya party yako. Organize few drinks etc
Nyie maskini hamtachangia chochote !! Najitolea kugharamia vinywaji na chakula
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona eeeh! Sisi hatuna mbwembwe nyingi kama nyie wa Daslam!Huko huko mnywe togwa