JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Ndo maana

Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda

Tusio na magari tunasita

Tusio warembo tunarudi nyumba

Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...

Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!![emoji3][emoji16][emoji23]
Mimi muendesha guta natokea tu, sina cha kupoteza
 
Ndo maana

Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda

Tusio na magari tunasita

Tusio warembo tunarudi nyumba

Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...

Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!![emoji3][emoji16][emoji23]
Naona unanipa sababu ya kutokuja maana hayo yote yananihusu[emoji23][emoji23]
 
Ndo maana

Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda

Tusio na magari tunasita

Tusio warembo tunarudi nyumba

Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...

Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!![emoji3][emoji16][emoji23]
Hahahaha ,vyote hivyo huna na hata chura huna,kinywaji unakunywa juice ya azam ,dah we inabidi ubaki
 
Back
Top Bottom