JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Ila siku moja baada ya hiyo party natabiri uwepo wa nyuzi nyingi za namna hii;

"Dada uliyevaa gauni jekundu nimekuelewa sana come inbox please"
............etc
 
Siku ya kukutana wanajf natumai 95%watakuwa na magari yao, 98%mademu wakali,
75% wanaume mahandsome
90%kila ashasafiri njema ya Africa walau Mara moja.
75% wamesoma sana wanajua mambo mengi.great thinkers
85.9% wanajua siasa balaa ,na mfumo mzima wa utawala.
Hii ni kwa mujibu wa members wote namna wan a how as I kish a mada humu
Dah! Sisi wa Mikoani tutakuwa wapenzi watazamaji tu.
Ila kuna memberz wengi natamani kuwafahamu.
 
Back
Top Bottom