jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
thank you darln for reminder notekuwa makini nae baby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thank you darln for reminder notekuwa makini nae baby
aiseeethank you darln for reminder note
mimi huyoohahahahahaha Joseeeeee
Duuuuh hunter sawa naona umeniua kabisaNitasimamia swala la ulinzi mlangoni maana Da'Vinci na Joseverest hawakawii kubeba vyakula kwenye mashati
hahahhahaah aiseeeaiseee
Dah! Sisi wa Mikoani tutakuwa wapenzi watazamaji tu.Siku ya kukutana wanajf natumai 95%watakuwa na magari yao, 98%mademu wakali,
75% wanaume mahandsome
90%kila ashasafiri njema ya Africa walau Mara moja.
75% wamesoma sana wanajua mambo mengi.great thinkers
85.9% wanajua siasa balaa ,na mfumo mzima wa utawala.
Hii ni kwa mujibu wa members wote namna wan a how as I kish a mada humu
Taja majina tukurushie picha zaoDah! Sisi wa Mikoani tutakuwa wapenzi watazamaji tu.
Ila kuna memberz wengi natamani kuwafahamu.
shem darling i miss youhahahhahaah aiseee
mimi zaidi shem bbyshem darling i miss you
Nipe summary mkuu..shem darling i miss you
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForumsNimesha subscribe, nasubiri date na venue