JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Nitapigwa, maana kuna watu humu nishavurugana nao wakijua huyu ndiye Mbao za Mawe hakika naweza kufa ukumbini kwa kipigo.

Mnihakikishie ulinzi wangu kwanza.
Ukifika kuwa mpole halafu jitambulishe kwa jina la kwenye vyeti pia usiwe msemaji sana, maana wengine tunauwezo wa kulinganisha mazungumzo yako na kile unachoandika(ga) na kujua ndiye X, japo ni wachache wenye kipaji hicho
 
We nawe ulichezea fursa ..tusisumbuane tubaki kua tu shem babe
Niliongea na mshana alishatega matunguli. Hakuna utakalofanikiwa kwenye mishe za kugawa hio papuchi niliyoigharamikia.
Nilikutoa mlima kwaraaa babati hadi dsm kwa nauli yangu
 
Niliongea na mshana alishatega matunguli. Hakuna utakalofanikiwa kwenye mishe za kugawa hio papuchi niliyoigharamikia.
Nilikutoa mlima kwaraaa babati hadi dsm kwa nauli yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom