Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hodi humu ndani, nimekuwa natembelea jf kama guest kwa muda mfupi lakini nimeona ni kwa namna gani jf ni sehemu ambapo huwezi boreka kwa namna yoyote maana imekamilika.
Naamini hamtanitenga
Panaboa sana wewe hujui tuHodi humu ndani, nimekuwa natembelea jf kama guest kwa muda mfupi lakini nimeona ni kwa namna gani jf ni sehemu ambapo huwezi boreka kwa namna yoyote maana imekamilika.
Naamini hamtanitenga.
asante sana mkuu Mwalimu wa GE na LL_Karibu sana Jf.
kivipi tena mkuu brigedia mafiaPanaboa sana wewe hujui tu
Vipi hio Da ni kifupisho cha Dada kama ndio njoo PM kabla hujafundishwa kufunga.asante sana mkuu Mwalimu wa GE na LL_
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee basi sawa.PM? Ndo nn mkuu?
We ni me au keHodi humu ndani, nimekuwa natembelea jf kama guest kwa muda mfupi lakini nimeona ni kwa namna gani jf ni sehemu ambapo huwezi boreka kwa namna yoyote maana imekamilika.
Naamini hamtanitenga.