Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba nlimuona juba naye
Tuweke picha ya drive in sinemaHahahaha[emoji23]
Dah! Namuona hapo marehemu Bob Chipe, Chipembele Said
Power number one
Ni marehemu Michael Katembo Mkuu(Chris Katembo alikua mchora katuni). Alikua na kipindi kinaitwa Tumbuizo Asilia pale RTD.Moja ya watangazaji wa zamani wanaokumbukwa Ni Chris katembo huyu aliboresha kipindi Cha ngoma asilia mpaka kikawa na wafuatiliaji kibao View attachment 2020187
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] ngoja nirekebisheNi marehemu Michael Katembo Mkuu(Chris Katembo alikua mchora katuni). Alikua na kipindi kinaitwa Tumbuizo Asilia pale RTD.
Mpaka sasa hajatokea mrithi wake aliyeweza kuvaa viatu vyake kisawasawa japo kina Mbazigwa Hassan na Bauli Mnyonge wanajaribu kufuata nyao zake kwa mbaali sana
Characters kwenye hivi vitabu vya Maarifa ya Nyumbani(Sayansi Kimu) walikua Warioba na Wanzagi.When education was realView attachment 2020125
Ndio maana elimu ya kileo haina msaada mkubwa kwa watotoCharacters kwenye hivi vitabu vya Maarifa ya Nyumbani(Sayansi Kimu) walikua Warioba na Wanzagi.
Siku hizi hakuna mafunzo kama haya. Kwanza kuna baadhi ya shule watoto wanafagiliwa hadi chumba cha darasa wanalosomea!!! Kwamba ni sahihi au la pengine ni suala la mjadala