JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Really?[emoji23]
Mkuu, hizi selfie zilikuwa zikifanyika enzi na enzi.
Angalia hii selfie ya mwaka 1909!
5378a4ca-08fd-42c5-afa3-bc4137c9bfa0-1578x2040.jpeg

Selfie ya mpiga picha Joseph Byron wa New York (1909; mwanzilishi wa studio ya picha ya Kampuni ya Byron.
 
Back
Top Bottom