Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Really!Really?[emoji23]
Mkuu, hizi selfie zilikuwa zikifanyika enzi na enzi.Really?[emoji23]
Really?[emoji23]
Nimeamini hakuna jipya chini ya jua.. Yote yanajirudia tuuMkuu, hizi selfie zilikuwa zikifanyika enzi na enzi.
Angalia hii selfie ya mwaka 1909!
Selfie ya mpiga picha Joseph Byron wa New York (1909; mwanzilishi wa studio ya picha ya Kampuni ya Byron.
Yeah!Ooh OK OK sawa.. Kilichokuja kufanyika kumbe ni transformation tuu
Alikua kisu
Alikua kisu
Hii nini mkuu...
Zamani enzi zile muda huu ushaandaa mzigo wako december december pale unaanza kuwa unau test mdogo mdogo [emoji3]