JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

...Kwa somo.lako la ujumbe katika picha inaonekana huyo.mwanamke atamsaidia jamaa kuchukua uongozi..
Maana jamaa anaungana na baba yake huko alipo na yeye anasonga mbele..

Haya ni maoni kutokana na masomo hapa jf na kauli isichukuliwe vinginevyo..
 
Mkuu wa Historia asante sana. Nitarudi

Historia mujarabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…