SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyu kumbe kaanza kupiga ndumu toka akiwa kinda
Hahahaha[emoji23].. Urithi wa ukoo matumizi toka tumboniHuyu kumbe kaanza kupiga ndumu toka akiwa kinda
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hii umenikumbusha mbali sana
Mzee Ben ngoma ngumu
Picha hii ilipigwa Alasiri Ikulu ya Magogoni
Marehemu Balozi, Sheikh Idris Abdul Wakil Rais wa Nne wa SMZ 1985-1990
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Picha hii ilipigwa Alasiri Ikulu ya Magogoni
Kutoka kulia Benjamin Mkapa, Brigedia General Hashim Mbita, Julius Nyerere,Paul Sozigwa(Mkurugenzi RTD) na Habibu Halahala(Mwandishi wa Rais)
Miaka ya mwishoni mwa Utawala wa Julius Ikulu Dar Es SalaaM
Dah..R.I.P Dr Shika...
Niliona picha yake ya graduation UDSM [1975] alikuwa amevaa hilo koti la mistari mistari!!Hahaa a boy from Msata... Near Msoga
Jr[emoji769]
Kenya wapo makini sana kwenye kuwanyamazisha wrisle blowerGeorge Justus Morara. Alizaliwa 1936. Alichaguliwa kama mbunge wa Mugirango Magaribi na raia wa sehemu hiyo 1969. Kwa wakati huo alikua mbunge mwenye umri mdogo kwa wabunge wote waliochaguliwa.
Ni miongoni wa walio faidika na programme ya Mboya kuelekea kusoma ulaya. Morara ni miongoni wa wale waliohuzunishwa na Kifo ya mboya.
Mwaka wa 1970 inasemekana alizuru nchi ya Zambia na alipokua Lusaka, alikutana ana kwa ana na Nahashon Njenga aliyempiga Tom Mboya risasi na kumuua. Aliporudi Kenya alisema bila uoga kuwa Nahashon Njenga hakunyongwa kama vile mahakama iliamuru na serikali ilimtorosha Zambia. Aliipa serikali muda wa Masaa 48 Nahashon akaletwe Kenya akahukumiwe. Siku iliyofuata alizuru Mji wa Kakamega ulioko eneo ya Magaribi mwa Kenya. Alipokua kwa gari akirudi nyumbani kwake Mugirango, gari Lake iligongwa na gari ya polisi ya kenya ikiegemea mahali alipokua ameketi. Alikufia papohapo.
Wengi huona hii Nyota ingine kuu ilizimwa na serikali.View attachment 2054009
Hii sio kweli bwana walikutana wapi sasa?
Mtwangio unarushwa juu kabla haujatua yanapigwa makofi kama ngoma pa pa pa ilikuwa inapendeza sana.Kuna maisha wana wa wana wetu hawatayakuta lakini JF wataikuta na kutazama hizi pichaView attachment 2035073