JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Screenshot_20211222-085910.jpg
 
Picha hii ilipigwa Alasiri Ikulu ya Magogoni
Kutoka kulia Benjamin Mkapa, Brigedia General Hashim Mbita, Julius Nyerere,Paul Sozigwa(Mkurugenzi RTD) na Habibu Halahala(Mwandishi wa Rais)
Miaka ya mwishoni mwa Utawala wa Julius Ikulu Dar Es SalaaM
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
George Justus Morara. Alizaliwa 1936. Alichaguliwa kama mbunge wa Mugirango Magaribi na raia wa sehemu hiyo 1969. Kwa wakati huo alikua mbunge mwenye umri mdogo kwa wabunge wote waliochaguliwa.
Ni miongoni wa walio faidika na programme ya Mboya kuelekea kusoma ulaya. Morara ni miongoni wa wale waliohuzunishwa na Kifo ya mboya.
Mwaka wa 1970 inasemekana alizuru nchi ya Zambia na alipokua Lusaka, alikutana ana kwa ana na Nahashon Njenga aliyempiga Tom Mboya risasi na kumuua. Aliporudi Kenya alisema bila uoga kuwa Nahashon Njenga hakunyongwa kama vile mahakama iliamuru na serikali ilimtorosha Zambia. Aliipa serikali muda wa Masaa 48 Nahashon akaletwe Kenya akahukumiwe. Siku iliyofuata alizuru Mji wa Kakamega ulioko eneo ya Magaribi mwa Kenya. Alipokua kwa gari akirudi nyumbani kwake Mugirango, gari Lake iligongwa na gari ya polisi ya kenya ikiegemea mahali alipokua ameketi. Alikufia papohapo.
Wengi huona hii Nyota ingine kuu ilizimwa na serikali.
Screenshot_20211223-005407.jpg
 
Jionee mwenyewe, Basi la Railway, basi la Abood (rangi nyekundu) mpaka leo na Langata ambayo ilikuwa tishio Dar Moshi Arusha miaka ile ile ya 80.
Screenshot_20211223-010515.jpg
Screenshot_20211223-010458.jpg
Screenshot_20211223-010444.jpg
 
George Justus Morara. Alizaliwa 1936. Alichaguliwa kama mbunge wa Mugirango Magaribi na raia wa sehemu hiyo 1969. Kwa wakati huo alikua mbunge mwenye umri mdogo kwa wabunge wote waliochaguliwa.
Ni miongoni wa walio faidika na programme ya Mboya kuelekea kusoma ulaya. Morara ni miongoni wa wale waliohuzunishwa na Kifo ya mboya.
Mwaka wa 1970 inasemekana alizuru nchi ya Zambia na alipokua Lusaka, alikutana ana kwa ana na Nahashon Njenga aliyempiga Tom Mboya risasi na kumuua. Aliporudi Kenya alisema bila uoga kuwa Nahashon Njenga hakunyongwa kama vile mahakama iliamuru na serikali ilimtorosha Zambia. Aliipa serikali muda wa Masaa 48 Nahashon akaletwe Kenya akahukumiwe. Siku iliyofuata alizuru Mji wa Kakamega ulioko eneo ya Magaribi mwa Kenya. Alipokua kwa gari akirudi nyumbani kwake Mugirango, gari Lake iligongwa na gari ya polisi ya kenya ikiegemea mahali alipokua ameketi. Alikufia papohapo.
Wengi huona hii Nyota ingine kuu ilizimwa na serikali.View attachment 2054009
Kenya wapo makini sana kwenye kuwanyamazisha wrisle blower
Tatizoo huwa wanaacha benefits of doubt kwenye kila tukio
 
Back
Top Bottom