JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Mnamkumbuka Hossen Macheni?
Nakumbuka pale Magomeni kulikuwa na OFFICE yake moja ijulikanayo kama kwa "MACHENI" akiwa na Dj KIM enzi za uhai wao.
Mungu awaondole adhabu za kabr.
Ameen
 
Nyerere alitangulia kufa, nahisi qlikuwa anamwambia mambo mazito lakini Mandela akawa anamsifia mama Maria kwa kumtunza baba..

Mungu akubariki sana Mshanajr kwa somo la Picha
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…