mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Radhima kipozi..... Hii ni familia ya KIPOZI....
hapa kuna AHMED na SANGO KIPOZI.....
pamoja na mabint zao RADHIA,,,RAHMA na Hy mwingine nimemsahau jina ...TUKUMBUSHANE jina lake...
View attachment 2246575
Three The Hard way?
Hilo pozi la Aile Selasi la kutanua vidole Kati kumbe lipo real! Freemason!
Wa Kati ni Jimm KellyMuhammad Ali wa kwanza na wa tatu ni Ken Norton huyo wa kati nmemsahau. Vp nmepatia?
Inaonekana usaliti alianzia UWT
Thomas Joseph Odhiambo Mboya aka Tom MboyaTom Mboya.
Majina Kamili, Thomas Joseph Mboya. Alizaliwa 1930 na Kufa Julai 1969. Miongoni wa mashujaa waliohakikisha kuwa Kenya imepata Uhuru kutoka kwa wabeberu kwa kutumia vikundi za Trade Union.
Wengi huku Kenya humuona kama The president that Kenya never had. Baada ya kenya kujinyakulia Uhuru alikua mmoja wa Mawaziri wa Jomo Kenyatta. Pia alikua na programme ya kupeleka Waafrika wa Kenya nchi ya America kwa masomo zaidi wakiwemo Barack Obama Senior (Babake Barack Obama) na Wangari Maathai ambaye ni Mwanamke wa Kwanza Africa kushinda tuzo la Nobel Peace Prize.
Mboya aliuawa 1969 kwa kupigwa risasi jijini Nairobi alipokua akitika kwenye Pharmacy. Kifo chake kilisababisha chuki Kubwa baina ya makabila ya Waluo na Wakikuyu. Aliyempiga risasi alikua anaitwa Nahashon Njenga ambaye alikua mkikuyu.
Kabla ya kifo chake. Wengi walikua wanamuona kama mtu ambaye angekua Rais wa pili wa Kenya baada ya Jomo Kenyatta.View attachment 2051239
Ndie aliemleta remmy ongala tz inadaiwa ni mpwa wake
Hivi hii teknolojia bado inatumika?...maana kwa hii shida ya mafuta nadhani hizi teknolojia hamna haja ya kuzipa kisogo kama Jamii wengi wao hawamudu gharama ya Mashine za kisasa.View attachment 1523218
Singida 1937 ( Mashine ya kusaga/Kukamua alizeti??)
🤣Dawa bora ya malaria
Hapa nawafahamu wote kasoro huyo aliye Jirani na Maalim Seif.View attachment 1523249
Wakongwe mtanisaidia caption😥😥