Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio Pablo, acha ushamba.Kweli huyu alikuwa tajiri.
Imagine miaka ya 80 mtu ana hela zote.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Acha uongo.Ila Mpaka kesho haionekani ishara ya Manuela kujitokeza hadharani na kuvunja Ukimya Juu ya stori za ukaribu wake na baba yake, Enzi za Uhai wa Pablo.View attachment 2430648
Kesi ya uhaini! Kwani Bibi Titi alifanya nini?Bibi Titi Mohammed akiwa mahakamani katika kesi yake ya uhaini.
View attachment 1898344
Nope! Ilikuwa mwaka 1956.Nadhani hapa ilikuwa ni mwaka 1969 na si mwaka 1996
ilikuwa ni kesi ya mchongo kama ile ya ugaidi ya MboweKesi ya uhaini! Kwani Bibi Titi alifanya nini?
OK!ilikuwa ni kesi ya mchongo kama ile ya ugaidi ya Mbowe
Sasa hizo mikanda mikubwa utapata wapi?Aisee nimepekuapekua leo kwenye mabox nikakutana na hii kitu ,,bado inapiga mzigo bhanaView attachment 2266605
Maisha hayana kanuniKoffi OlomideView attachment 2478500