JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Hatua 3 mbele ...5 nyuma...!!!

Jr[emoji769]
 
Ndio ndio ila alianzia Bongo naona hapo yupo na mzee Mwabulambo( Alikua wizara ya michezo??) wanatishiana

Nyerere alikataa kuonana nae Mohamed Ali
Ooh OK OK kwanini!?

Jr[emoji769]
 
Yuko wapi saivi huyu?

Jr[emoji769]

Dah mtoto mzuri huyu alishinda taji la Miss Tz akiwa form 3 pale Central Secondary hadi akafukuzwa shule halafu Waziri wa Elimu wakati huo Prof Sarungi akaingilia kati akaendelea mpaka akamaliza form four.

Last time nimesikia habari zake alikua anaumwa sana sanaaa kwao kule juu Imagi/ Iringa Road?

Wapi Aina maeda??
 
Miss Zanzibar pekee
1967

Hio ndo kwa mara mara ya kwanza na ya Mwisho Zanzibar kufanya shindano la kumtafuta Miss Zanzibar


Miss Zanzibar 1967 Hediye Khamis Mussa

Baada ya hapo mashindano yalipigwa marufuku kwakua ni kinyume na mila, desturi na Tamaduni zetu. Hata kwenda kushiriki Miss World hakwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…