JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Miss Tanzania 1967


Miss Tanzania wa kwanza mweusi.

Teressq Shayo Miss Tanzania 1968
Kumbe wadada kuvaa vinguo vifupi wameanza kitambo?🤣🤣

Ila huu uvaaji ndo ulifanya mashindano yakapigwa marufuku kwa miaka 27 kwakua yanapingana na tamaduni zetu. Yalikuja kurudi tena mwaka 1994 na alishinda Aina Maeda


Miss Tanzania(Teresa Shayo), Miss Uganda(Rosemary Salmon), Miss Nigeria(Rosalind Balogun) na Miss Ghana(Araba Vroon) wakiwa katika mashindano ya Miss World, UK


Bi Teresa Shayo alifariki mwaka 2007 huko Ujerumani alikokua akiishi kwa Kansa ya Tumbo...RIP
 
Pole yake..Maeda nilisikia yuko uingereza..Happiness Magese South..huyu wa Temeke China
 
Namuona mtoto wa kichaga hapo
 
Yupo Hai kweli hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…