BAND:_Juwata jazz band.
WIMBO:_Uzuri si shani, (1979).
MTUNZI:_Saidi Mabela.
WAIMBAJI:_ Bichuka, Belesa Kakele, Juma Akida, Joseph Lusungu.
SOLO GITAA;_ Saidi Mabela.
RIZIM GITAA:_ Abdalah Omary.
BASS GITAA:_ Selemani Mwanyiro.
TUMBA:_ Sidy Morris.
SAXOPHONE:_ Mnenge Ramadhani, na juma Hassani Town.
TRUMPETS:_ Joseph Lusungu, Betto julius Pacheko, na Zitto Albert Munda.
MASHAHIRI YAKE:
Bichuka anaanza na sauti moja Kali sana.
Ahaaaaaaaa......
Kubadili mawazo yako weweee....
Kijana nakuonea huruma, tabia yako si yakuridhishaaa...
kijana una umbo la kupendezaa, mrefu mneneee, na mwanya wa wastaniii....x2.
Hakika uzuri si shanii, utu wa mtu ni tabia njemaaa....x2.
Sent using
Jamii Forums mobile app