JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

FB_IMG_1698645583330.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hili linaitwa "FITINA JIRANI" Dar mpaka Kyela. Mnazi mmoja hiyo na hapo bado jamaa wanaendelea kupakia mzigo, Kitonga pale na zile kona za Iyovi watu wanalala nalo hilo utadhani linapinduka, lakini waapi, yaani ilikuwa kazi kweli kweli, na safari yenu mnafika salama salimini. Kipindi hiki ndiyo kipindi ambacho watu wengi walikuwa hawapendi kusikia habari za Mlima Kitonga.
FB_IMG_1698645758883.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogaaah!

LENOX LEWIS, MIKE IRON TYSON NA FRANK BRUNO....NDONDI ZILIKUWA ENZI HIZOO

MBABE HAPO NI LENOX LEWIS HAJAWAHI KUPIGWA NA YEYOTE HAPO NA KACHAKAZA WOTE HAPO HATA WALIPOOMBA KURUDIANA NAYE ALIWAPIGA

KULIKUWA NA USHINDANI MKUBWA KATI YA MABONDIA WA MAREKANI NA UINGEREZA Nm.
FB_IMG_1698731947839.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina: Muumini Mwinjuma
Kuzaliwa: 1970 (53 yrs Old)
Eneo: Pwani, Bagamoyo
Kazi: Msanii wa Muziki wa Dansi

Bendi Alizopita

Lola Afrika - 1989
Bantu - 1991
Washirika Starts - 1992
MCA International - 1994

Akaenda Kenya… na kurejea 2000.

Akajiunga na Twanga Pepeta - 2000
Mchinga Sound - 2000
African Revolution (Tamtam) - 2000
Double M Sound - 2002 (Aliianzisha)
Double Extra - 2004
TOT - 2006
Twanga Pepeta - 2010
Victoria Sound - 2014
Double M Sound - 2020
Shadai - 2020
Special Band ‘Wana Tam Tam - 2023

Amebadilisha A.K.A yake, sio Kocha wa Dunia tena, bali ukimuona muite Roboti.

FB_IMG_1698854955147.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom